Skip to main content
Skip to main content

Waathiriwa wa shambulizi wawasilisha rufaa ya kesi, wakidai Mahakama Kuu ilikosea

  • | Citizen TV
    1,852 views
    Duration: 1:01
    Waathiriwa wa shambulizi la bomu la mwaka wa 1998 kwenye ubalozi wa Marekani hapa Nairobi wameelekeza malalamishi yao kwenye mahakama ya rufaa, kupinga uamuzi wa mahakama kuu uliotupilia mbali kesi yao.....