Skip to main content
Skip to main content

Waathiriwa wa ukatili wa kijinsia waanza kupata haki katika kaunti ya Wajir

  • | Citizen TV
    26 views
    Kaunti ya Wajir imeanza kuona matokeo ya juhudi za muda mrefu za kupiga vita mfumo tata wa Maslah, unaotumika kusuluhisha kesi za ukatili wa kijinsia nje ya mfumo rasmi wa sheria