Skip to main content
Skip to main content

Wabunge wahoji gharama ya mradi wa Bomas huku ujenzi ukisuasua

  • | Citizen TV
    502 views
    Duration: 1:34
    Wabunge wameibua maswali kuhusu gharama ya juu ya ukumbi wa mikutano wa Bomas. Kamati ya bunge la kitaifa kuhusu utalii na wanyamapori inateta kuwa gharama hiyo iko juu sana ikilinganishwa na majengo sawia barani Afrika. Hata hivyo, huenda jengo hilo likakosa kukamilika kwa wakati uliopangiwa. Katibu katika wizara ya ulinzi Dkt. Patrick Mariru ameieleza kamati hiyo kwamba asilimia 35 ya ujenzi huo tu ndio uliokamilika hadi sasa.