Skip to main content
Skip to main content

Wabunge wakashifu kushambuliwa kwa Osotsi

  • | Citizen TV
    1,614 views
    Duration: 3:06
    Baadhi ya wabunge kutoka eneo la magharibi mwa kenya wamemtaka inspekta jenerali wa polisi douglas kanja kuwakamata mara moja wahuni waliomvamia seneta wa vihiga godfrey osotsi. Wabunge hao walikashifu kisa ambacho seneta huyo alivamiwa hapo jana adhuhuri katika mkahawa mmoja kule kisumu.