- 300 viewsDuration: 41sWachezaji gofu wapatao 82 wamedhibitisha kushiriki mashindano ya Johnnie Walker Classic ambayo ni mkondo wa sita wa Sunshine Development Golf Tour yatakayoanza kesho hadi jumatano ijayo katika uwanja wa Royal Nairobi club jijini Nairobi