5 Jan 2026 2:04 pm | Citizen TV 716 views Duration: 1:53 Wachezaji wazamani wa timu ya Taifa, Harambee Srats wamerai wadau wote katika sekta ya michezo kuzuru mashinai kutafuta wachezaji chipukizi kama njia moja ya kuimarisha viwango vya mchezo wa soka nchini.