Wachimba dhahabu wawili wafariki baada ya kuzikwa mchangani Turkana

  • | Citizen TV
    1,805 views

    Wachimba migodi wawili wamefariki, wengine wawili wakiokolewa na wengine wanne wakiwa wamekwama timboni, baada yao kuporomokewa na mchanga walipokuwa wakichimba kwenye mgodi wa dhahabu katika eneo la Naduat Turkana kaskazini.