Wachungaji waitaka serikali kuwasikiliza viajana

  • | Citizen TV
    464 views

    Baadhi ya wachungaji kutoka kaunti ya Kisii wametoa wito kwa serikali kuzingatia matakwa ya maelfu ya vijana waliojitokeza barabarani katika miji mbalimbali kupinga uongozi mbaya na kutaka uwajibikaji wa maafisa wa serikali. Viongozi hao wanamtaka Rais William Ruto kulipa kipaumbele swala la kupiga vita ufisadi . Chrispine Otieno sasa anaungana nasi mbashara kutoka Kisii kwa mengi zaidi