27 Oct 2025 10:17 am | Citizen TV 118 views Duration: 1:38 Mitihani ya Kitaifa inapong’oa nanga rasmi hii leo serikali imeelezea matumai ya habari njema eneo la Narok Kaskazini ambako hakujaripotiwa kesi za mimba kwa watahiniwa ambazo huwa nyingi kila mwaka.