27 Oct 2025 1:13 pm | Citizen TV 428 views Duration: 2:43 Huku mitihani wa KJSEA na kpsea ikin'goa nanga Leo asubuhi, washikadau wa elimu katika eneobunge la Rangwe wameahidi kuhakikisha kuwa mitihani hiyo itafanyika kwa njia bora. James Latano anaarifu zaidi kutoka Homa bay.