10 Nov 2026 10:20 am | Citizen TV 328 views Duration: 2:13 Viongozi na wadau wa sekta ya elimu katika Kaunti ya Wajir wameitaka serikali kusitisha sera za upendeleo na kuongeza idadi ya walimu wanaoajiriwa, ili kukabiliana na uhaba wa walimu unaokumba eneo la Kaskazini mwa Kenya.