15 Jul 2026 1:25 pm | Citizen TV 360 views Duration: 4:04 Wadau katika sekta ya elimu wameitaka wizara ya elimu kujumuisha ujuzi wa usalama katika mtaala ili kuwasaidia wanafunzi kujikinga, kuwaokoa wenzao na kulinda mali endapo majanga yatatokea shuleni au katika maeneo mengine.