Skip to main content
Skip to main content

Wadau wa usalama waweka mikakati ya kutokomeza ugaidi na itikadi kali

  • | KBC Video
    144 views
    Duration: 1:24
    Wadau wanaohusika na usalama nchini wako katika mji wa Kilifi kwa ajili ya mkutano unaonuiwa kuweka mikakati ya kupambana na ugaidi pamoja na itikadi kali. Mkutano huo umeweka wazi ustahimilivu na uwezeshaji kama masuala yanayohitajika ili kuafikia lengo halo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive