- 696 viewsDuration: 2:46Wadau katika sekta ya elimu wanashinikiza kuwepo kwa usawa katika mfumo mpya wa ufadhili wa masomo nchini. Wakizungumza katika vikao vya umma vilivyoanza rasmi Mombasa na Trans-Nzoia, wadau hao wamewataka wanasiasa kukoma kuingilia sekta ya elimu, wakilaumu mwingilio huo kwa kudorora kwa elimu nchini.