11 Nov 2026 1:36 pm | Citizen TV 44 views Chama cha bodaboda katika kaunti ya Embu kimewaonya wanasiasa dhidi ya kuwatumia waendeshaji pikipiki kusababisha vurugu, kueneza matamshi ya chuki na kuchochea kutovumiliana kisiasa katika kaunti hiyo.