- 239 viewsDuration: 1:59Zaidi ya waendesha baiskeli 60 walistahimili upepo mkali na milima katika kaunti ya kajiado katika makala ya mwaka huu ya mbio za baiskeli za tour of kajiado. Shindano lililoanza katika mji wa isinya liliwapeleka waendesha baiskeli hadi ilbisil na kurudi, umbali wa kilomita 92.