Skip to main content
Skip to main content

Wafanyabiashara 2,000 wazuiwa kuingia soko la Masinde Muliro

  • | Citizen TV
    4,354 views
    Duration: 2:53
    Zaidi ya wafanyibiashara elfu mbili katika soko la Masinde Muliro mjini Kitale, kaunti ya Trans Nzoia, wamelazimika kupiga kambi nje ya soko hilo huku taharuki ikitanda kuhusu ni nani haswa anayestahiki kufanya biashara sokoni humo. Wafanyabiashara walioidhinishwa na gavana George Natembeya wakizuiliwa kuingia kwenye soko hilo lililoibua malumbano kati ya serikali kuu na ile ya kaunti. Collins Shitiabayi na mengi zaidi.