- 3,503 viewsDuration: 2:41Maandamano yalishuhudiwa katika soko la Gikomba huku wafanyabiashara wa soko hilo wakipinga mpango wa kuwahamisha kutoka sokoni humo wakidai kuwa eneo jipya walilotengewa kuhamia limetekwa na magenge ambayo yanaitisha hongo kabla ya kuwapa nafasi za kufanyia biashara. Pia wamesisitiza hawatakubali kuhamishwa hadi mita 50 kutoka mto Nairobi, wakidai kuna njama fiche ya kuwaondoa ili baadhi ya watu wanyakue ardhi hiyo