Skip to main content
Skip to main content

Wafanyabiashara Nakuru wawasilisha ombi kwa seneti kusitisha mjadala wa mswada wa tumbaku

  • | KBC Video
    74 views
    Duration: 3:17
    Baadhi ya wafanyabiashara katika kaunti ya Nakuru wamewasilisha ombi kwa bunge la seneti kusitisha mjadala kuhusu muswada wa tumbaku ili kutoa fursa kwa ushirikishi zaidi wa umma. Walieleza wasiwasi kwamba iwapo muswada uliopendekezwa utapitishwa jinsi ulivyo, huenda ukachangia kukua kwa biashara haramu ya tumbaku humu nchini. taarifa hii na nyingine ni katika mkusanyiko wa dira ya kaunti. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive