Skip to main content
Skip to main content

Wafanyabiashara Nanyuki wasifia soko la kisasa wakisema litaimarisha mapato

  • | KBC Video
    209 views
    Duration: 1:27
    Wafanyabiashara huko Nanyuki katika kaunti ya Laikipia wanatarajiwa kunufaika na soko jipya linalojengwa na serikali ya kitaifa kwa gharama ya shilingi milioni 360. Soko hilo ambalo limekamilika kwa asilimia-95 , linatarajiwa kuwa na nafasi ya zaidi ya wafanyabiashara elfu moja pindi litakapokamilishwa kufikia mwezi Disemba mwaka huu. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive