Skip to main content
Skip to main content

Wafanyabiashara walalamika hasara kufuatia ubomoaji Gikomba

  • | Citizen TV
    11,942 views
    Duration: 2:30
    Maelfu ya wafanyabiashara wa soko maarufu la gikomba wanakadiria hasara baada ya baadhi ya sehemu za soko hilo kubomolewa katika mpango wa serikali kutwaa ardhi ya kingo za mto nairobi. Ubomoaji huo ulioanza usiku wa manane umeshutumiwa na viongozi wa upinzani walioapa kuelekea mahakamani kutaka waathirika kufidiwa.