- 165 viewsDuration: 2:18Wazee 172 kutoka kaunti za Kwale, Kilifi na Mombasa wanaitaka serikali kuu kuingilia kati na kuwafidia malipo na marupurupu wanayodai kudhulumiwa baada ya kufanya kazi katika kampuni moja ya vyuma eneo la Miritini iliyofungwa mwaka wa 2003 na kununuliwa na kampuni nyingine ambayo pia ilifungwa miaka saba baadaye.