21 Oct 2025 10:11 am | Citizen TV 337 views Duration: 2:06 Baadhi ya wafanyibiashara katika mji wa Diani kaunti ya Kwale wamelalamikia kuhangaishwa na makundi ya vijana wahalifu wanaovamia na kuwaibia wakaazi na wafanyibiashara.