15 Jul 2026 1:15 pm | Citizen TV 243 views Duration: 1:47 Kupanda kwa gharama ya chakula cha viwandani kwa ng'ombe wa maziwa kumewasukuma wafugaji wa eneo la Karau katika kaunti ya Embu kubadili mbinu za ufugaji kwa kuwekeza katika uzalishaji wa malisho yenye virutubisho vingi.