Skip to main content
Skip to main content

Wafugaji katika kaunti ya Samburu wawaimbia mifugo nyimbo wanapokunywa maji

  • | Citizen TV
    462 views
    Duration: 2:52
    Jamii ya wafugaji ya wasamburu yakumbatia mfumo wa kuwaimbia mifugo ili kuwanywesha maji wanapowapeleka mtoni kukata kiu. Mbinu hiyo hukumbatiwa na wafugaji hususan msimu wa ukame