Wafugaji wa mifugo walalamikia ongezeko la wizi wa mifugo eneo la Suswa

  • | Citizen TV
    198 views

    Wafugaji wa kondoo wanaoishi katika eneo bunge la Suswa mpakani mwa Kaunti za Narok, Kajiado na Nakuru wamelalamikia ongezeko la wizi wa mifugo yao na kusababisha hasara kubwa na sasa wameomba serikali kuu kutafuta suluhu ya haraka.