2 Dec 2025 1:47 pm | Citizen TV 346 views Duration: 1:15 Baadhi ya jamii za wafugaji katika Eneo Bunge la Laikipia Kaskazini wameanza kukumbatia kilimo cha mimea katika jitihada za kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabia nchi.