27 Nov 2025 1:15 pm | Citizen TV 1,515 views Duration: 2:58 Baada ya vurugu kutokea mapema leo katika eneobunge la mbeere north, maafisa wa usalama walidhibiti hali na wapigakura wanaendelea na kutimiza haki yao ya kikatiba.