11 Dec 2025 10:35 am | Citizen TV 361 views Duration: 1:40 Wakaazi wanaoishi karibu na hospitali ya Kimisheni ya Lugulu Katika Kaunti ya Bungoma sasa wanaitaka mamlaka husika kuingilia Kati na kuwaondoa popo ambao wamekuwa Kero kwao.