Wagonjwa wa anemia selimundu wakosa matibabu Bungoma

  • | Citizen TV
    104 views

    Huku mgomo wa madaktari ukiendelea kote nchini,wagonjwa wa anemia selemundu wanataabika kupata matibabu na dawa katika vituo vya afya vya umma.