- 457 viewsDuration: 3:01Wagonjwa wa saratani wameitaka serikali kuongeza fedha wanazotengewa katika bima ya SHA kutoka laki nne hadi milioni mojana laki mbili wakisema kuwa gharama ya matibabu ni juu mno. Baadhi ya wagonjwa hao ambao waliandamana jana jijini nairobi wanasema imewalazimu kuacha matibabu katikati na kusababisha vifo vya wengi