- 66 viewsDuration: 2:53Kwa siku ya nane mfululizo, shughuli za masomo katika vyuo vikuu vya umma zimelemazwa huku wahadhiri na wafanyikazi wengine wakiendelea na mgomo wao. Wanachama wa vyama vya wahadhiri na wafanyikazi wengine wa vyuo vikuu walifanya maandamano ya amani jijini Nairobi kutaka malimbikizi ya shilingi bilioni 7.9 yalipwe mara moja. Aidha walipuuza agizo la waziri wa elimu Julius Ogamba linalowataka warejee kazini au wachukuliwe hatua za kinidhamu. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive