8 Oct 2025 10:10 am | Citizen TV 170 views Duration: 2:16 Wafanyakazi na wahadhiri wa chuo kikuu cha Jomo Kenyatta walitumia siku yao kucheza na kujifurahisha katika uwanja wa mahafali huku mgomo wa wahadhiri ukiingia mwezi wa pili.