Skip to main content
Skip to main content

Wahubiri wapinga mswada wa kudhibiti maabadi wakisema unawakandamiza

  • | Citizen TV
    303 views
    Duration: 1:08
    Viongozi wa dini katika kaunti ya Bungoma wanaendelea kupinga vikali mswada wa kudhibiti makanisa wakisema utahujumu uhuru wa kuwabudu. Askofu Ignatius wanjala wa kanisa la prophetc living ministry lililoko mjini Bungoma anasema tayari sheria zipo kikatiba zinazotoa mwongozo wa namna viongozi wa dini wanafaa kuendesha shughuli za makanisa na hawaoni haja ya kulimbikiziwa sheria nyingi ambazo zitawakandamiza.