Wahudumu wa afya ya jamii wafaidi mradi wa ufugaji samaki Busia

  • | Citizen TV
    113 views

    Wahudumu wa afya ya jamii katika eneo bunge la Budalangi kaunti ya Busia wamepokea mradi wa ufugaji samaki kutoka kwa serikali ya Kaunti hiyo kama njia mbadala ya kuongeza mapato yao.