19 Nov 2025 1:37 pm | Citizen TV 100 views Wahudumu wa bodaboda kaunti ya Machakos wameandaa maombi maalum kutoa hamasa kuhusu usalama barabarani pamoja na kuwakumbuka wenzao waliopoteza maisha kupitia ajali za barabarani