Wahudumu wa bodaboda wapewa mafunzo ya kiusalama

  • | Citizen TV
    89 views

    Wahudumu wa bodaboda kaunti ya Mombasa wameanza kupokea mafunzo kuhusu usalama barabarani na mbinu mbali mbali za uwekezaji ili kujiendeleza kiuchumi.