8 Oct 2025 1:17 pm | Citizen TV 254 views Duration: 1:50 Wahudumu wa afya walioko chini ya ufadhili wa Global Fund wameitaka serikali iwajumuishe mara moja katika ajira ya kudumu baada ya kukosa mishahara kwa zaidi ya miezi 15.