- 179 viewsDuration: 2:11Baadhi ya wajane walioathirika na ghasia za maandamano na ambao waume zao waliuliwa wakati wa maandamano ya baada ya uchanguzi wa mwaka 2017 na mwaka 2022 wanaomba serikali kuwajumuisha kwenye malipo ya waliothirika wakati wa maandamano . Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya