Skip to main content
Skip to main content

Wajir: Wazee na wasomi wa jamii ya Gaashe wakemea kauli iliyotolewa na baadhi ya wazee wa jamii hiyo

  • | NTV Video
    466 views
    Duration: 1:57
    Wazee na wasomi wa jamii ya Gaashe wanaoishi katika eneo la Adamasajida, kaunti ya Wajir, wamekemea kauli iliyotolewa na baadhi ya wazee wa jamii hiyo wakisema haiwakilishi msimamo wa jumla wa jamii, na pia zinaweza kusababisha taharuki na kuvuruga mshikamano wa kijamii. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya