Wakaazi wa Matisi waliotoa ardhi yao kwa ujenzi wa barabara wadai kulipwa fidia yao

  • | Citizen TV
    261 views

    Wakazi wa eneo la matisi waliotoa ardhi yao kwa ujenzi wa barabara kuu inayotoka mjini kitale hadi Suam nchini Uganda, wanalalamikia kucheleweshwa kwa ridhaa waliyoahidiwa na serikali. Wakazi hao ambao maduka yao yalibomolewa wanaitaka halmashauri ya barabara kuu nchini - KENHA kufanikisha malipo yao kulingana na mkataba kati yao na serikali.