Wakaazi wa Mbiti wasema mchanga ulioko mto Kisu utasababisha mafuriko Makueni

  • | Citizen TV
    428 views

    Huku mvua ya el nino ikitarajiwa kuanza wiki mbili zijazo, wakazi wa eneo la Mbitini kaunti ya Makueni wanahofia kuwa mchanga wa mto Kisu ulipoondolewa utasababisha mafuriko. Kulingana nao, mkondo wa mto huo hubadilika unapojaa kwa sababu ya mafuriko ambayo huelekea katika makazi yao.