Wakaazi wa Navakholo na Lurambi walalamikia kucheleweshwa kwa mradi wa barabara

  • | Citizen TV
    149 views

    Ni afueni kwa wakazi wanaotumia barabara ya kutoka Lurambi, Navakholo hadi Bungoma ya c41 hii ni baada ya mbunge wa Navakholo Emmanuel Wangwe kuwahakikishia kuwa barabara hiyo itawekwa mwanakandarasi wakati wowote baada ya wiki tatau zijaazo, huku wakazi wa maeneo ya Navakholo na Lurambi wakiendela kulalama kutokana na kuharibika kwa barabara hiyo