Wakaazi wa wadi 17 Makueni waathiriwa na kiangazi na baa la njaa katika kaunti hiyo

  • | Citizen TV
    372 views

    Wakaazi wa Wadi 17 kati ya 30 katika kaunti ya makueni wameathiriwa na kiangazi na njaa kaunti ya Makueni. shirika la kudhibiti ukame sasa linasema kiangazi kimeathiri wakazi na mifugo yao na kuwaacha katika hali mbaya ya baa la njaa. wenyeji hao wanahitaji msaada wa dharura.