- 3,561 viewsDuration: 1:58Wakaazi wa maeneo ya Mbooni huko kaunti ya Makueni wamelezea matumaini yao ya kuboreshwa kwa uchukuzi baada ya serikali ya kitaifa kuanza kujenga madaraja yaliokwama wakati barabara ya Tawa kwenda Itangini ilipokuwa ikiwekwa lami. Walikuwa akizungumza wakati mkurungezi wa kampuni ya reli Philip Mainga alipozuru na kukagua ujenzi wa daraja la kwanthei na kuwahikishia wakaazi kuwa madaraja yalio kwenye barabara hiyo na ambayo yamekuwa yakikatiza usafiri msimu wa mvua yatakamilishwa.