Wakaazi walalama baada ya miradi muhimu kusahaulika

  • | Citizen TV
    76 views

    Wakazi wa eneo bunge la Butula kaunti ya Busia wanalalamikia kutelekezwa kwa baadhi ya miradi muhimu tangu awamu ya kwanza ya serikali za ugatuzi. Baadhi ya miradi hiyo imeisalia vichakani na kuharibika. Miradi hiyo inajumuisha soko na zahanati ambazo zimewawacha wenyeji wakitaabika kutafuta huduma muhimu huku biashara zikididimia