- 9,928 viewsDuration: 3:01Kitendawili cha kutoweka kwa kijana kutoka mtaa wa saika hapa Nairobi kwa wiki sita sasa bado hakijapata jibu. Charles Ndungu alitoweka baada ya kukamatwa na polisi mtaano humo. Sasa wakaazi wa eneo hili wanataka majibu kutoka kwa polisi kuhusu aliko ndung'u zaidi ya mwezi mmoja sasa