Wakaazi wanaonufaika na ruzuku wapewa ushauri huko kaunti ya Samburu

  • | Citizen TV
    146 views

    Kiangazi kimezidi kuwatatiza wakazi wa Waso Samburu Mashariki, mifugo wakiangamia na familia nyingi kusalia kwenye ufukara. Ni hali ambayo imeshinikiza mashirika yasiyokuwa ya kiserikali kufadhili makundi ya kijamii kwa miradi mbalimbali.