Skip to main content
Skip to main content

Wakazi Kisauni wadai uvamizi wa mashamba na genge la vijana wenye silaha

  • | Citizen TV
    6,567 views
    Duration: 4:04
    Baadhi ya wakazi wa Nguu Tatu na Marimani Kisauni kaunti ya Mombasa wanaishi na wasiwasi wakidai kuna genge la vijana wenye silaha ambao wamekuwa wakivamia mashamba yao na kujenga makazi ya muda. Maafisa wa polisi wamesema wanaendelea na uchunguzi na kutaka waathiriwa kuandikisha taarifa baada ya kupiga ripoti katika kituo cha polisi cha Kiembeni.