Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa ardhi inayozozaniwa na maskwota na kanisa la ACK Eldoret wafurushwa

  • | Citizen TV
    450 views
    Duration: 2:57
    Wakazi wa mtaa wa Kipkaren jijini eldoret kaunt ya Uasin Gishu hii leo wamebolewa nyumba zao kufuatia mzozo wa shamba kati yao na kanisa la ACK. Maskwota hao wanasema wameishi hapo kwa zaidi ya miaka 70 na wanashangaa kwanini wanafurushwa... Hata hivyo askofu wa kanisa hilo Christopher Ruto anasisitiza ardhi hiyo inamilikiwa na kanisa kihalali..